Young MA Na Video Ya "Hot Sauce;Young MA anaonekana yupo tayari kabisa kuiachia "Herstory" albamu ambayo aliwahi kukaliliwa akiitaja kama movie ya maisha yake.. Kupiti Albamu hiyo Young MA ameahidi kuzitaja hustle zake tangu akiwa mtoto mpaka sasa wapenda muziki wanamtambua,
Hot Sauce ni moja ya ngoma zinazopatikana kwenye "HerStory" enjoy na video yake hapa ukiwa unasubiri ujio wa albamu nzima mwishoni mwa mwezi huu. 

Powered by Blogger.