Hatari Tupu!! Hii Ndiyo Sentensi Tata Ya Wema Sepetu Iliyoacha Watu Midomo Wazi


Mrembo Wema Sepetu ni moja kati ya watu maarufu wanaofuatiliwa sana mitandaoni na hii ni kutokana na maisha yao kuyaweka wazi kwenye Social Networks.

Kwa kile alichoandika leo ama kweli kimeacha watu wengi midomo wazi kwani kauli yake imekuwa tata kweli.

Kupitia ukurasa wake wa twitter Wema ameandika “ukiona swala anaringa sana mbugani,ujue Bwana Simba ni bae wake..” na sijui yupi ni swala ambae anaringa baada ya kuliwa tena na Simba.

Powered by Blogger.