Ben Pol Kuja na Insta Live Session Ijumaa hii
Leo Ijumaa tarehe 10/3. Mkali wa R&B ndani ya bongo flevani, Ben Pol, ataachia session yake ya kwanza ambayo itakuwa LIVE kuanzia mida ya saa mbili hadi saa tatu usiku.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Ben Pol ametusanua mchongo huo ambao utakuwa LIVE kupitia ukurasa wake wa Instagram, ambapo pia utapata Exclusive kupitia page yetu ya Instagram ambayo ni seetheafricanlink.

Powered by Blogger.