AZAM YANG'AA NYUMBANI HUKU YANGA IKIBANWA MBAVU UWANJA WA TAIFA


Wawakilishi wa nchini Tanzania katika michezo ya kimataifa klabu Bingwa klabu ya Azam na Yanga matokeo yao ni hivi. 
 
katika mchezo wa Klabu ya Azam ya jijini Dar es Salaam wakuitwa wanalambalamba usiku wa jana wamezidi kushikiria rekodi yao ya kushinda uwanja wao wa nyumbani Azam complex katika mchezo wakimataifa kombe la shirikisho Afrika kwa kuwafunga goli 1-0 klabu ya Mbabane Swallow kutoka nchini Swaziland goli likiwekwa kimiyani na mshambuliaji wake Ramadhani Singano kwenye dakika ya 84. Kwa matokeo hayo klabu ya Azam inakua inatanguliza mguu mmoja katika hatua nyingine kabla ya mchezo wa pili wa marudiano utakaofanyika nchini Swaziland.


Kwa upande wa wawakilishi wenzao klabu ya Yanga wakiwa na kibarua kigumu cha kuvuka hatua inayofuata katika kombe la klabu bingwa Afrika kwa maana ya mchezo wa pili wa marudiano utakaofanyika nchini Zambia kwa kuwa kabiri klabu ya Zanaco baada ya hapa nyumbani siku ya jumamosi kutoka nao sare ya goli 1-1 Uwanja wa Taifa.Powered by Blogger.