Askofu Gwajima Akiri Kumfahamu Mwanamke Anaedaiwa Kuzaa Naye


Leo Jumapili kwenye ibaada ya asaubuhi Askofu Gwajima wa kanisa la Ufufuo Na Uzima amevunja ukimya kfuatia kuwepo kwa tuhuma za kuzaa na mmoja wa waumini wake kishu kumtekeleza.. Mchungaji huyo aliutumia muda wa ibaada ya leo kunyoosha maelezo juu ya ishu hiyo.

 SIKILIZA HII HAPA CHINI, USIKIE MAKOMBORA YAKE: 

Powered by Blogger.