Aliko Dangote kuwekeza kwenye muziki, Korede Bello apata shavu

 
Tajiri Afrika nzima Aliko Dangote ameonyesha nia ya kuwekeza kwenye muziki. Kama unakumbuka mwaka jana mfanya biashara huyu alionekana na P Square na kutengeneza vichwa vya habari kuhusu colabo hio.

Aliko Dangote hivi karibuni alikuwa na staa wa muziki kutoka Mavin Records Korede Bello ikiwa ni matayarisha kuelekea kutoka kwa album ya msanii huyu #Belloved mnamo March 11.

Tunasubiri kusikia kiasi gani cha pesa Aliko atawekeza kwenye muziki wa Korede Bello.
Powered by Blogger.