Chukua Hii Ya Moto Kabisa Kutoka @MavinRecord, Ni @Koredebello Na #BelLoved

Romantic ambayo alimpa mashavu memba mwenzake wa Mavin Record (Tiwa Savage) ndio ilimtambulisha kwenye ramani ya muziki kimataifa, Zikafuata Godwin,Do Like That na Do Like That Remix aliyofanya na Kelly Rowland...

Baada ya kukaa miaka 3 chini ya uongozi wa Mavin Record kwa mara ya kwanza KoredeBello ameitambulisha Albamu yake ya kwanza inayotambulika kama "BELLOLOVED" ikiwa na jumla ya ngoma 11 ni ngoma moja tu ambayo ni kolabo yaani hii kapiga na mashabiki wake wa damu, Kwenye ngoma 10 nyingine zote amesimama peke yake.
CLICK MAJINA YA NYIMBO HAPA CHINI KU-DOWNLOAD ALBAMU NZIMA:

1: Korede - MP3 Download

2:OH Baybe (HERMOSA) MP3 Download

3: Repete MP3 Download

4: Butterfly MP3 Download

5: Let Him Go MP3 Download

6: My People MP3 Download

7: If You Smile MP3 Download ( A Must   Have Tune) 

8:  Young Presido MP3 Download

9:Favorite Song MP3 Download

10: Good Times Ft. Bellolovers MP3 Download

11: Ese Baba MP3 Download

Powered by Blogger.