YANGA YAKIMATAIFA KESHO DIMBANI DHIDI YA WALE WACOMORO


Wakimataifa kesho kukipiga Uwanja wa Taifa dhidi ya klabu ya Ngara kutoka Comoro mchezo wa kimataifa.

Klabu ya Yanga ya nchini Tanzania kesho itakua na mchezo dhidi ya klabu ya Ngaya kutoka Comoro waliotua nchini jana.Wakujiita Wakimataifa hao kesho wanamtanange huo wa kimataifa dhidi ya klabu ya Ngaya katika kombe la klabu bingwa Afrika ambapo bado wanakumbukumbu ya mechi ya kwanza waliocheza kwao nakuwapaga kipigo kikali cha goli tano kwa moja.Powered by Blogger.