Wema Sepetu Afunguka Yanayomkuta Rumande.. Noma Sana !!


Issue ambayo inatrend kila kona kwasasa hapa Bongo ni hii ya Mh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuamua kudeal na baadhi ya mastaa na kuwafanyia uchunguzi ikiwa ni washukiwa kuhusika na madawa hayo kuanzia utumiaji mpaka usambazaji.

Ikiwa sakata hilo linaendelea kushika kasi kila kona seetheafricanlink imeidaka clip ambayo anasikika mwanadada Wema Sepetu akielezea kila kitu kinachoendelea kwenye sakata hilo na kutoboa siri nzito ambayo wengi walikuwa hawaifahamu hapo awali!

Unataka kuijua ni siri gani hiyo!? Uhondo wote upo kwenye video hii hapa chini play uweze kumsikiliza mwanadada Wema Sepetu kiumakini akifunguka juu ya mchongo huo.

Sikiliza Hapa Chini:

 


Powered by Blogger.