Wema Sepetu Afunguka Kuhusu Petit Man Kuwekewa Bastola na Mh Makonda Mdomoni


Kupitia sakata hili la madawa ya kulevya na Mh Paul Makonda, limeweza kuibua maswali mambo mengi usiyoyjua, lakini seetheafricanlink inakupa Exclusive ya story zote kubwa zinazo-make headline kwa sasa.

Kupitia ile clip iliyosambaa mitandaoni especially kwa siku ya jana, Clip hiyo ni ile inayosikika sauti ya Wema Sepetu, kwa makini ukaisikiliza vizuri utaweza kusikia Wema katoa kali ambayo hata wewe inaweza ikakushangaza kwa namna moja au nyingine.

Nisikumalizie nyama zote.. Bofya kwenye video umsikie Akifunguka.

Video hii hapa chini


Powered by Blogger.