WAFAHAMU MASTAA WALIOSHUHUDIA MCHEZO WA REAL MADRID DHIDI YA NAPOLI KWENYE UEFA

Katika mchezo wa jana usiku kati ya Real Madrid na Napoli katika dimba la Santiago Bernabeu nchini Hispania uliwakutanisha watu wa aina mbalimbali.

Usiku wa jana katika mchezo kati ya Real Madrid na Napoli uliwakutanisha watu wa aina mbalimbali wakiwemo mastaa mbalimbali nje ya wanasoka katika watu hao alionekana mcheza Tenesi Rafael Nadal wa nchini Hispania akiwa ametinga suti yake na kutokea uwanjani Santiago Bernabeu kuishangilia timu yake hiyo anayoishabikia huku kwa mastaa wengine ni mwanasoka wa zamani wa Argentina Diego Maradonna akiwa nae anaishangilia Timu yake ya zamani ya Napoli.Powered by Blogger.