Video: Mtoto Mzuri Nandy Anayo Furaha Kukualika Kuiangalia 'One Day'


Kutoka kwa mwanadada anayekua kwa kasi sana katika game ya muziki wa Bongo Fleva anafahamika kama Nandy ameachia official video ya wimbo wake mpya wa One Day.

Director wa video hiyo ni Destro, bonyeza play kwenye video hii hapa chini uweze kuenjoy nayo.


Powered by Blogger.