Video: Hiki Hapa Alichokifanya Idris Sultan Kwenye Wimbo Mpya Wa Ditto.. Noma Sana!!


Idris Sultan ni bingwa wa kugeuza nyimbo za wasanii na kuweka utani na meneno ya kuchekesha ambayo huwavunja mbavu followers wake wa Instagram.

Mshindi huyo wa shindano la Big Brother Africa 2014, ameubadilisha wimbo wa unaofanya vizuri wa Lameck Ditto, Moyo Sukuma Damu na kuwaacha mashabiki wake wakiuguza mbavu zao. Hebu jionee video hiyo chini.

Tazama hapa
Powered by Blogger.