Video: Hii hapa mpya kutoka kwa Davido, anakwambia 'IF'Mkali kutoka Nigeria ambaye ameshawahi kuja kutumbuiza kwenye FIESTA Tanzania na tayari mpaka sasa anazo hits kadhaa zilizofika mpaka kwenye Top10 za Radio na TV Tanzania, hapa namzungumzia Davido.

 Leo ameachia video yake mpya, "IF" ikiwa produced by Tekno.Powered by Blogger.