Vevo Wametoa Orodha Ya Video Zinazofanya Vizuri,

Leo februari 10 rapa Wycleaf Jean kupitia channel ya Vevo amezitambulisha ngoma tano kali zinazofanya poa kwenye mtandao huo wiki hii.

John Wayne ya Lady Gaga, Kate Perry ana ngoma mpya "Chained To The Rythm Mariah Carey ambaye nae mapema wiki hii ameachia video yake "I Don't" na Rapa YG. Zara Larson Migoz na wengine wengi wanafanya poa, Cheki na Hii Video Hapa:


Powered by Blogger.