UNAMFAHAMU MCHEZAJI WA LIVERPOOL ALIYEGEUKIA U"DJ"

Aliyekua mchezaji wa Liverpool mwaka 2004-2007 Djibril Cisse ameamua kugeukia upande wa pili kuwa mpiga muziki wa kumbi za starehe yaani (DJ).

Mwanasoka huyo ambaye mzaliwa wa ufaransa na pia ni raia wa nchi hiyo nakuitumikia nchi hiyo kwa kuichezea na kuzichezea vilabu mbalimbali kama vile Liverpool mwaka 2004-2007,Maseille 2007-2009,Sunderland 2008-2009 ,Panathinaikos 2009- 2011,lazio 2011-2012,Queens Park Rangers 2012-2013 ,al gharafa 2013, Bastia 2014-2015 na kutimkia kwenye klabu ya Saint Pierroise 2015 ya nchini kwao Ufaransa .


Djibril Cisse akiwa katika kazi yake mpya ya upigaji muziki katika ukumbi wa starehe.

Mchezaji huyo ambaye pia aliwahi kutwaa kombe la klabu bingwa na klabu ya Liverpool mwaka 2005-2006 na kuchukua kiatu cha dhahabu mara mbili. Kwasasa ameamua kuwa mpiga muziki (DJ) kwenye kumbi za starehe za usiku. nakusema kuwa ni maisha yake ya upande wa pili aliyoyachagua baada ya kuipenda kazi hiyo kwa muda mrefu baada ya soka.
 


Powered by Blogger.