UMEMSIKIA BABA YAKE MATUMLA ANAVYOSEMA KUHUSU MWANAE

Rashidi matumla baba mzazi wa bondia Mohammed .R. Matumla atoa kauli kwa mwanae na kwa mashaibiki kwa ujumla wa ndondi nchini.

Mzazi huyo amabaye nae alikua bondia kipindi cha nyuma na sasa ni kocha wa mchezo huo ametoa kauli yakwamba mwanae anaachana na mchezo wa ngumi na kuamua kumfungulia kituo cha kufundishia ngumi kwa ajili ya mwanae huyo kufundisha.
Nakuongezea kwa kusema kuwa mwanae ameshacheza michezo mingi ya ndani na nje ya nchi nakuiletea heshima Taifa kwa kulitumikia kwa ujumla pia.
Swala hilo linatokana na mwanae kupata hitilafu katika maeneo ya kichwa chake kilichotokana na pambano alilowahi kucheza nyuma na kuhumizwa vibaya nakupelekea  kufanyiwa upasuaji wa kichwa.
 Mohammed Matumla aliruhusiwa kutoka hospitalini juzi jumanne.
Powered by Blogger.