UEFA LEO IKO HIVI BARCELONA USO KWA USO NA PSG HUKU BENFICA NA BORUSSIA DORTMUND


 Leo ni leo katika mitanange ya ligi ya mabingwa ulaya ratiba iko hivi.

 Usiku wa leo Paris St Germany (PSG) wa Ufaransa watakuwa ni wenyeji wa Barcelona kutoka Hispania katika dimba la Parc des Princes jijini Paris Ufaransa majira ya usiku wa leo ambapo makocha wawili wazawa wa hispania Luis Enrique wa barcelona na Unai Emery wa PSG(Paris Saint Germain) wakikutana katika timu tofauti na ligi tofauti.

Huku messi atakua nakazi yakufanga ili aongeze idadi yake ya magoli katika kapu lake la magoli anayoongoza kwa idadi ya magoli kumi aliyonayo kwa sasa katika ligi hii ya mabingwa kwa upande wa PSG Mshambuliaji wake Edson Cavani(El Matador) ambaye leo anasheherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 30 nae akiwa na idadi ya magoli sita na yupo katika nafasi nzuri ya ushindani baada ya kusimama katika nafasi ya ushambuliaji akiwa peke yake baada ya Zlatan Ibrahmovic kuondoka klabuni hapo na kama timu kupata pigo la kumkosa kapteni wao Thiago Silva ambaye ni mchezaji wao wa muhimu kwa kuwa na majeruhi.

Huku kwa upande wa pili wa kalata ni nchini Ureno ambapo wenyeji Benfica wakiwakaribisha Borussia Dortmund katika dimba la Estadio do Sport Lisbon e Benfica jijini Lisbon. Nayo unachezeka majira ya usiku wa Mabingwa.


Powered by Blogger.