Trump Aviagiza Vikosi Vya Usalama Kudili Na Wageni Marekani


Tangu kutangaza kwake nia ya kuwania urais wa marekani maelfu ya wananchi walionyesha kutokua na imani na Donald Trump, Tumeona jinsi maamuzi yake yanavyopingwa vikali.  

 Kinachoendelea marekani muda huu ni ishu ya mataifa saba ya kiislam kuzuiwa nchini humo hivyo kumekua na hali ya ubaguzi juu ya wageni wanaoingia marekani,

 Rais Donald Trump anaendelea kupingana na mahakama zinzoomba kuwepo haki za wageni kuingia marekani  bila kubaguliwa. 

 Kwa kuuthibitishia ulimwengu kama bado ameshikilia msimamo wake, Trump ameutumia ukurasa wake wa twitter na kueleza jinsi mahakama inavyojaribu kulifanya zoezi hilo kuonekana gumu,  

Powered by Blogger.