Tanzania Yafuzu michuano ya Afrika
Timu ya Taifa ya Tanzania chini ya umri  wa miaka 17 "serengeti boys " imefuzu michuano ya Afrika kwa vijana itakayofanyika nchini Gabon kwa kushinda rufaa waliyoikata dhidi ya Congo Brazzaville kwa kukiuka kwa kumchezesha mchezaji wao Langa Lesse Bercy aliyezidi umri katika michuano hiyo.

Ambapo CAF imeamua kuwapa nafasi serengeti boys katika michuano hiyo... 


Powered by Blogger.