Rapa Wale Ndani Ya Tetesi Nzito.. Msikie Hapa


Rapa Wale ameonyesha kuchoka kabisa muziki na Industry kwa ujumla baada ya kutoa kauli iliyoshtua wengi.

Wale anasema Nimechoka, huu muziki unaweza kukutoa Roho na kukufanya uache kabisa kuimba, Watu hawana heshima tena na uwezo wa mtu, wanakuomba ufanye jambo flani, unapolikamilisha wanasema hujawahi kulifanya, ukiwataja watakuuwa na kukutukuza baada ya kifo chako

Mpaka sasa inasemekana maneno haya yanatokana na mahusiano mabaya na lebo yake ya  Maybach Music Group na kwamba muda wowote anaweza kuacha muziki kutokana na msongo wa mawazo anaopitia kwa sasa.

Baada ya dakika chache za kupost maneno haya,Wale alifuta post hio instagram.
Powered by Blogger.