Rafiki yake ronaldo ahukumiwa kwenda jela


Rafiki wa cristiano ronaldo ambaye anacheyeza mchezo wa ngumi na mateke yani (kickboxer)Badr Hari amehukumiwa kwenda  jela.

Badr Hari ni raia wa uholanzi mwenye asili ya morocco ambaye ana umri wa miaka 32 amehukumiwa kwenda jela miaka miwili na mahakama ya amsterdam nchini uholanzi kwa kosa la kufanya shambulizi katika ukumbi wa starehe wa usiku jijini humo ni baada ya kufanya fujo kwa kumshambulia mtu kwa kumrushia chupa katika ukumbi huo.


Hii si mara ya kwanza kwa Badr kwenda jela inakua mara ya pili kwa kosa kama hili la kupigana na kumshambulia mtu kwa kumpiga na kumpelekea kufungwa mwaka 2015..Powered by Blogger.