Q-Chillah & Diamond wafunguka haya juu ya tetesi za Chillah kujiunga na WCBTangia mwaka huu uanze kumekuwa na tetesi kila kona kuwa, msanii wa Bongo fleva Q-Chillah yupo mbioni kusaini na Lebo ya WCB Wasafi ya kwake Diamond Platnumz.

Akipiga story na seetheafrican.com Diamond Platnumz na Q-Chillah walifunguka juu ya  tetesi hizo na wote walitoa majibu yao live kwenye Mic zetu kwa kuongelea jambo hilo linalosambaa mitaani.

Tazama video hapa chini uwasikilize wakifunguka Powered by Blogger.