Kama Alivyoahidi Trey Songz Ni Nyimbo Bampa To Bampa, Hii Hapa Video Ya Playboy

Trey Songz yupo mbioni kuachia Albamu yake ya ya 16 "Tremaine The Playboy", Albamu ambayo inatarajiwa kuingia sokoni mwishoni mwa mwezi machi mwaka huu.  Sasa kwa kuwajali mashabiki wake Treysongz aliahidi kuachia wimbo mpya kila wiki, baada ya kuiachia "Nobody Else But You" hii hapa  video"Play Boy"

Mbali na Albamu mnyamwezi Trigga amekuja na online Series iliyobeba jina la Albamu yaani "Tremaine The Playboy" ambayo nayo imefika sehemu ya pili, Unaweza Kuiangalia hapa chini.
Powered by Blogger.