Picha: Kutana Na Mrembo Anaemnyima Usingizi Diamond Platnumz Hauwezi Kuamini Kama Ni Mama Wa Watoto 5


 Wikiendi iliyopita ilikua ni 40 ya mtoto wa mbongoflava Diamond Platnumz na baby mama wake Zarithebosslady, Tukio ambalo lilihudhuriwa na mastaa kibao wa bongo na wananchi wa kawaida,
Baada ya kuvimiliki vichwa vya habari kwenye vyanzo mbalimbali na mitandao ya kijamii kwa kulifanikisha hilo mwanamama Zarithebosslady ameamua kutuonyesha picha 5 kali zikimuonyesha akijiachia kwenye bwawa la kuogelea nyumbani kwake Madale.

Cheki nazo hapa:


Powered by Blogger.