Picha: Future arejea tena Insta kwa kishindoBaada ya Future kuanza mwaka 2017 kwa kufuta picha zake zote zilizokuwepo kwenye akaunti yake ya mtandao wa Instagram na kususa kuutumia kabisa mtandao huo hatimaye amerudi tena.

Rapper huyo amerudi kwenye mtandao huo kwa kishindo zaidi kwa kuonyesha mambo atakayoyafanya mwaka huu ikiwemo ziara yake aliyoipa jina la ‘No Body Safe Tour’.

Powered by Blogger.