Picha: Alikiba atua Afrika Kusini kuanza ziara yake


Mshindi wa tuzo ya MTV EMA 2016, Alikiba ametua nchini Afrika Kusini tayari kwa ziara yake ya kwanza nchini humo.

Wakati akitangaza kwa mara ya kwanza ziara hiyo, kupitia ukurasa wake wa Instagram Alikiba aliandika, “Happy New Year. It’s time to meet my fans across the world. I start with South Africa in February 2017! . KING KIBA LIVE ON TOUR IN SOUTH AFRICA.”

Hizi hapa baadhi ya picha hizo
Powered by Blogger.