Uli-miss Kutumia Nokia "Jeneza?, Hii Hapa Inarudi Ikiwa Imeboreshwa


Kampuni ya Teknolojia ya simu za mikononi ya Nokia imetangaza kuirudisha tena sokoni simu aina ya Nokia 3310 (maarufu Nokia Jeneza),
 Nokia imedai kuuza zaidi ya simu milioni 126 tangu ilipoingizwa sokoni kwa mara ya kwanza mwaka 2000.

 'Simu hiyo ya 3310 ilikuwa ya kwanza katika soko na inasubiriwa na wengi,''Hatua hiyo ya kuzindua upya Simu ya 3310 ni wazo zuri na tunataraji itauza kwa wingi''. '' ,alisema Ben Wood, mshauri wa kiteknolojia.

Hata hivyo ujio wa simu hii utakua tofauti kabisa na simu iliyopita kutokana na maboresho yaliyoongezwa  lakini jina litabaki kuwa lile lile yaani Nokia 3310 ,

Cheki Hapa muonekano mpya wa simu hiyo.Powered by Blogger.