Nipo tayari kufanya ngoma na Chemical - Keko

Rapper Chemical alisema kuwa anatamani kufanya kazi na rapper kutoka Uganda Keko, ili watu waweze kuwatofautisha na yeye kwakuwa watu wengi humfananisha naye. Pia Chemical alisema kuwa Keko ni moja kati ya marapper waliomvutia yeye kuingia kwenye muziki.

Kupitia mahojiano aliyofanya na Dizzim Online, Keko afunguka juu ya jambo hilo la chemical baada ya ombi hilo kufikishiwa.

“She is an awesome rapper I saw her stuff and I am very humble and if she is listening in to the show I am gonna be coming to Tanzania real soon".

Aliongeza, "I would love to work with her and see where we can take this it’s always a pleasure working with a real fan and I am looking forward to that,”
Powered by Blogger.