Nicki Minaj Ndani Ya Vita Nzito Na Huyu Hapa Designer MaarufuRapper Nicki Minaj ameingia kwenye vita ya maneno na designer maarufu wa viatu duniani, Giuseppe Zanotti kwa madai kuwa anamchukulia poa licha ya kutoa sneakers zenye jina lake, zaidi ya matoleo 23 bila kumlipa chochote.

Nicki anadai kuwa anaona designer huyo amemchukulia poa kutokana na kutotaka kuongea na timu yake ya PR licha ya kuachia sokoni viatu hivyo na sasa anataka alipwe mkwanja wake. Kufuatia sekeseke hilo, hashtag ya #GiuseppeWhatsGood ina trend kwenye mtandao wa Twitter.

 Hizi ni tweets zake:
Powered by Blogger.