Nay wa Mitego – Muda Wetu (Official Video)

 
Nay wa Mitego ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Muda Wetu’ uliotayarishwa na producer wa studio yake ya Free Nation Records, Awsome. Video imeongozwa na Deo Abel.
Powered by Blogger.