MFAHAMU GOLIKIPA ALIYESTAAFISHWA NA KLABU YA ARSENALUnaukumbuka mchezo uliopita wa kombe la FA kati ya klabu ya Arsenal dhidi ya klabu ya Sutton United umemstaafisha golikipa.

Nadhani unaukumbuka ule mchezo wa kombe la FA ambapo klabu ya Arsenal walishinda goli mbili kwa bila dhidi ya klabu Sutton United zote kutoka nchini Uingereza mjini London.
 Umemstaafisha golikipa wa klabu ya Sutton United Wayne Shaw baada ya kuwa anakula mkate wa nyama yani "burger" kipindi timu yake ikipokea kichapo hiko kikali kutoka kwa Arsenal ambapo timu yake ilikuwa ni mwenyeji katika mtanange huo na Kilichopelekea kumstaafisha golikipa huyo ni baada ya mashabiki kumdhania na kumsema kuwa aliubetia mchezo hule ambapo yeye alikua yuko benchi katika mchezo huo huku akiwa anakula mkate wa nyama yani "burger" akiwa anaishuhudia timu yake ikifungwa magoli hayo yeye akiwa anatafuna na kumung'unya na alivyosikia maoni ya mashabiki hao aliamua kuchukua uamuzi wa kustaafisha kucheza mpira.
Powered by Blogger.