MERCEDES BENZ WAMEZIBA PENGO LA NICO ROSBERG
Kampuni ya magari ya nchini Ujerumani Mercedes Benz imemsainisha mwanandinga Valtteri Bottas.
Kampuni hiyo ya mercedes benz imefanikiwa kumsajili mwanandinga huyo raia wa nchini finland Valtteri Bottas na kuziba nafasi ya Nico Rosberg aliyekuwa mwanandinga wao kabla ya kustaafu mchezo huo baada ya kushinda formula one mwaka jana 2016 na sasa wamemsajili mwanandinga mpya huyo kwa mkataba wa mwaka mmoja na kutangazwa rasmi na mkuu wa kitengo cha mawasiliano wa fomula one Claire Williams ambapo atakua anaungana na mwanandinga mwenzake Lewis Hamiliton kwenye kampuni hiyo ya magari.