Melody Mbassa - Nikukoleze Lyrics


Mkali wa Bongo Rhumba na hit maker wa 'Nikukoleze' Melody Mbassa, leo amedropisha mashairi (lyrics) ya ngoma yake hiyo ikiwa tayari mpaka sasa ngoma hiyo inafanya vizuri kwenye vituo mbalimbali vya tv pamoja na redio hapa nchini.

Nikukoleze Lyrics 


Artist: Melody Mbassa
Producer: C9

Nimekupata mwenzio naomba nikukoleze,naomba nikukoleze nisije nikakukosa kesho..
DUNIA ya leo,hakuna mapenzi,hakuna mapenzi 

Verse 1

Umenishika mkono ukaninyanyua, naamini ulizaliwa kwajili yangu Sheri jasmin...
Ungebahatika kuona mawazo yangu ni kama mfungwa ndani ya jelaaa..
Ungeniuliza maswali mengi lakini ningeshindwa kukujibu 
Mama ehhe ehhe eehe eehhe eeheh..

Chorus:

Mea amour!! Mea amour !!
Melody jar leehh..
Mea amour !! Mea amour!! Mea amour !!Mea amour !!
Victor mashamba ehh
Mea amour !!Mea amour 
Niko tayari ihhi melody jar leehh...
Niko tayari ihh..
Kuishi na wew..!!!

Verse 2

Mbele ya familia yangu mwana zuberi,mapenzi si ukweli...
Mapenzi ya dhati ni ghali kupata,
Na hasa kwa DUNIA ya sasa mamaa!!
Unajua mi maskini Nakupenda we mzuri..
Waniumizaaa!! Rohoo 
Ukinitosa ukabadilika ukalitupa penzi langu baharini...
Nihaidi uwe wangu wa maishaa...
Hadi pumzi itakapokuja Kata ehehee 
Weew!!! Fahari yangu maa!!!
Weeeww !!!DUNIA yangu mama yoyo ehee she
Kila kiumbe hupenda kilichofanana nacho ohh..
Na kila mwanadamu hupenda aliyefanana na yeye.. *2

Chorus:

Mea amour!! Mea amour !!
Melody jar leehh..
Mea amour !! Mea amour!! Mea amour !!Mea amour !!
Victor mashamba ehh
Mea amour !!Mea amour 
Niko tayari ihhi melody jar leehh...
Niko tayari ihh..
Kuishi na wew..!!!

 (Bridge)

Nilivutiwa MIM mwenyewe ehehee 
Nikavutiwa kuwa na wew eheh eheh 
Ulizaliwa kwajili yangu Dada aahh!!
Nikakupenda MIM mwenyew Dada 
Yehee hee
Niko tayari ihhhhhhiiiii....
Niko tayari..Ihhiiii....!!!
Niko tayari ihii ihii Ihhiiii Niko tayari ihiii.....!!!!..

MWISHO


Powered by Blogger.