mchezaji wa liverpool kuja kuifundisha serengeti boys


Vijana wa Serengeti boys baada ya kuchangiwa na wabunge wamepata shavu jingine kubwa kutoka kwa benki ya Standard Chartered ya nchini Tanzania kwa  kuwaunga mkono kwa kuwaletea kocha.

Kocha huyo mzawa wa Jamaika lakini ni raia wa uingereza alikuwa ni mchezaji wa Liverpool kwa mwaka 1987-1997 na kucheza kwenye timu kama Watford, Newcastel United na  Charlton Athletic John C. Barnes na kuzifundisha timu kama Celtic na timu ya taifa ya nchini jamaika anatarajiwa kutua nchini Tanzania mwezi ujao kwa udhamini wa benki ya Standard Chartered inayoidhamini klabu ya Liverpool kwa ajili ya kuwapa vijana hao mafunzo na ujuzi katika mashindano ya vijana kwa Afrika wanayotarajia kwenda mwezi wa nne nchini Gabon.Powered by Blogger.