MBWANA SAMATTA AUNGANA NA MANCHESTER UNITED KWENYE 16 BORA


Baada ya mzunguko wa 32 bora ya michuano ya EUFA Europa League 2016/2017 kumalizika hatua inayofuata ya 16 bora ratiba yake hii hapa.

Droo hiyo iliyochezesha nchini Sweden mjini Stokeholm Tarehe 24 Februari ambapo Klabu ya Manchester United kukipiga na klabu ya Rostov kutoka nchini Russia kwa upande wa wakina Mbwana Samatta KRC Genk wamepangiwa na majirani wao wa nchini kwao ubelgiji klabu ya Gent baada ya jana usiku kushinda ushindi wa jumla 3-2 katika michezo yake miwili dhidi ya klabu Fc Astra ya nchini Romania katika mechi yao ya kwanza ugenini walitoka sare ya 2-2 na kuhutumia vyema uwanja wao wa nyumbani Luminus Arena kwa kushinda kwa goli moja kwa bila goli hilo likifungwa na kiungo wao Aljendro Pozuelo raia wa Hispania kwa kupiga mpira wa adhabu ndogo yani "faulo" uliokwamishwa moja kwa moja wavuni. 


Powered by Blogger.