Make Love Yawaunganisha Gucci Mane Na Nicki Minaj

Baada ya kuthibitisha kuzipotezea tofauti zao kwa kuonekana kwenye picha ya pamoja mitandaoni Gucci Mane na Nicki Minaj wameingia studio na kututengenezea kitu "Make Love" moja kati ya Kolabo adimu kuwahi kutokea kwenye ramani ya muziki.
Enjoy Nayo Hapa:

Powered by Blogger.