MAELFU WAANDAMANA KUMPINGA TRUMP MEXICO

MAELFU WAANDAMANA KUMPINGA TRUMP MEXICO
Maelfu ya watu nchini Mexico wameandamana kupinga sera ya uhamiaji ya rais mteule wa Marekani Donald Trump pamoja na mpango wake wa kutaka kujenga ukuta baina ya Marekani na Mexico.

Waandamanaji hao kutoka zaida ya miji kumi wameandamana barabarani wakiwa wamebabea mabango ya kumpinga Trump wakiwa wamevaa mavazi meupe na kupeperusha bendera ya Mexico.


Aidha waandamanaji hoa wamempinga rais wan nchi hiyo Enrique Pena Nieto Kwa kushindwa kwake kupiga vita rushwa kwenye nchi hiyo.
Powered by Blogger.