Mabeste Kuhusu Ndoa Yake, Vanessa Mdee Na Couple Za Wabongo


Kama ulikua haujui licha tu ya kuonekana kwenye video za Mabeste mwandada Lissa ambae pia ni mke halali wa rapa huyo anajihusisha na video kwa upande wa taaluma yake.
 Mbali na kuonekana na kucheza kama Vixen bado Lisa ni Director ambae amepiga party kubwa kwenye baadhi ya video za mabeste, kwenye kipindi cha Playlist cha TimezFM

Akipiga stori zaidi na Lilommy, Mabeste pia ametuambia kitu ambacho tulikua hatukijui kuhusu sauti inayotumika kama utambulisho wake kama mrembo anaesikika humo ni mwanadada Vanessa Mdee,

MSIKILIZE HAPA MABESTE AKIFUNGUKIA ISHU KADHAA KUHUSU SAFARI YAKE: 

Powered by Blogger.