LIVE: Makonda ataja orodha ya tatu ya vinara wa unga

Image result for MAKONDA


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo anataja majina mengine ya vinara wanaotuhumiwa kwenye biashara ya madawa ya kulevya.


Katika awamu ya pili, watu mashuhuri wakiwemo Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, Askofu Josephat Gwajima na mbunge wa zamani wa Kinondoni, Idd Azzan walitajwa.

“Awamu ya tatu imekamilika naomba tukutane kesho katika ukumbi wa mwalimu nyerere kuanzia saa 4 asbh,” mkuu huyo wa mkoa aliandika jana kwenye Instagram.

LIVE: ORODHA YA TATU YA VINARA WA UNGA
Powered by Blogger.