LEO KWENYE USIKU WA KLABU BINGWA ULAYA HUKO HIVI


Usiku wa mabingwa wa klabu bingwa leo uko hivi.

Klabu ya Manchester city ya nchini uingereza inawaalika wageni wao kutoka nchini Ufaransa klabu ya Monaco katika dimba lao la Etihad Stadium na kwa upande wa pili wa mkeka ni nchini Ujerumani ambapo wenyeji Bayer 04 Leverkusen wakiwaalika klabu ya Atletico de Madrid watukutu wa nchini Hispania wakitua kwenye dimba la BayArena.

Powered by Blogger.