LEO KATIKA EUROPA LIGI IKO HIVI,MANCHESTER UNITED,MBWANA SAMATTA PIA KUKIPIGA DIMBANI


Katika Europa ligi leo viwanjani kutakua na  michezo mingi mikali usiku wa leo katika nchi tofauti mmoja wapo ni kati ya Manchester United dhidi ya St Et Etienne.

Katika nchi ya uingereza jiji la Manchester kutakua na mtanange mkali kati Manchester United ya uingereza dhidi ya Saint Etienne ya nchini Ufaransa utakao pigwa katika dimba la Old Trafford.
Huku michezo mwingine mkubwa nchini Uingereza ni kati ya Tottenham hotspurs dhidi ya Kaa Gent ya nchini Ubeligiji.
Borrusia Monchengladbach ya Ujerumani wakiwaalika Fiorentina ya nchini Italia na Villareal ya Hispania dhidi ya Roma ya nchini Italia mtanange mwingine ni kati ya klabu ya Celta  Vigo ya nchini Hispania dhidi ya Shaktar Donetsk ya nchini Ukraini na mchezo mwingine ni kati ya klabu Paok Salonika ya nchini Ugiriki dhidi ya Schalke 04 ya nchini Ujerumani,mchezo mwengine ni kati ya klabu ya nchini Romania Astra Giurgiu dhidi ya KRC Genk ya nchini Ubeligiji ambapo Mtanzania aliyeshinda Tuzo ya Mwanasoka bora wa Afrika kwa wachezaji wa ndani anaichezea klabu hiyo.

Powered by Blogger.