Lady Jay Dee Kuhusu Wasanii Kufanana, Ziara Yake Nigeria, Spicy Na Albamu MpyaWanasema Mapenzi Bampa to Bampa kwa Dada yetu kipenzi cha wengi Lady jay D pamoja na Shemela wetu mpya Mr. Spice all the way from Nigeria hatimaye kutambulishana Rasmi Mwezi April Mwaka huu.
Comando amefunguka wakati wa Mahojiano yake na Dullah ndani ya Kipindi cha PlanetBongo alipofika kuachia Track yake mpya "HAMOBA" Aliyomshirikisha Mzambia #Kamoba,


ANGALIA MAHOJIANO YAO HAPA KWENYE VIDEO YA WAZO TV: 

Powered by Blogger.