KOCHA HUYU ANAWAPA MAWAZO ARSENAL


Timu ya Arsenal(The gunners) ya jijini london wakuitwa The gunners kwa sasa mawazo yao wameamishia kwa muitaliano wa timu ya Juventus Massimiliano Allegri.


Washika bunduki hao wa london kwasasa wameamishia mawazo yao kwa kumhitaji kocha mbadala wa kumrithi kocha wao wa muda mrefu mfaransa Arsene Wenger ambaye mkataba wake unafikia ukingoni kumalizika anawanyima furaha mashabiki wake kwa kipindi kirefu kwa kukosa makombe.ya ligi na klabu bingwa ulaya.
Mashabiki kwa ujumla baada ya kumkosa kocha wa Atletico de madrid mhispania Diego Simeone na sasa kumgeukia muitaliano kwa kuhitaji huduma ya kocha wa Juventus Massimiliano Allegri kuchukua nafasi hiyo ya muda mrefu ya kocha wao huyo ambaye bado anang"ang"ania nafasi yake hiyo kwa hali na mali na pia kuungwa mkono na mchezaji wake wa zamani Thierry  Henry akimkingia kifua kwa mashabiki wake wampe muda.
Powered by Blogger.