KIUNGO WA YANGA NA TAIFA STARZ AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa mchezaji wa Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania Godfrey Bonny aka {Mandanje} amefariki Dunia.

Mchezaji huyo aliyezichezea vilabu vya Tanzania Prison ya jijini Mbeya na Yanga ya Dar es Salaam na kuitumikia timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Starz" katika kipindi cha Kocha Maxio Maximo.
Hakika ameacha simanzi na majonzi makubwa katika familia ya mchezo wa mpira wa miguu na kwa Familia kwa ujumla tunawapa pole.
Marehemu amefariki leo majira ya alfajiri katika hospitali ya Rungwe-Tukuyu mkoani Mbeya.
Powered by Blogger.