Kanye West Mbioni Kuachia Yeezy Season 5

 
Baada ya kupata matatizo ya ugonjwa na kukaa kimya kwa muda mrefu, Kanye West anajipanga kuachia nguo zake za Yeezy Season 5, Februari 15 mwaka huu.

Onesho hilo linatarajiwa kufanyika katika ukumbi wa Pier 59 Studios uliopo jijini New York.

 

Awali fashion show yake ya Yeezy Season 4 iliangukia pua kitendo ambacho kilimfanya rapper huyo kufukuza wafanyakazi wake wote 30 na kuamua kujikita katika ziara yake ya Saint Pablo.
Powered by Blogger.