Jah Prayzah Atoa Ya Moyoni Kuhusu Diamond Platnumz, Soma Hapa Alichokiandika


Hakuna kitu kizuri kama kuwasaidia watu kufikia malengo yao na baadae wakakurudishia shukrani zao, hiyo inakufanya kuendelea kuukata ubinafsi na kuwa mtu wa watu, Nimechukulia mfano huu kulinganisha na ishu ya mwanamuziki Mzimbabwe Jay Prayzah kutoa yake ya moyoni kwa mbongofleva Diamond Platnumz, 

 Bila shaka utakua unaikumbuka "Watora Mari", Moja kati ya ngoma ambazo zilifanikiwa kufanya vizuri sehemu kubwa ya Afrika kwenye robo ya pili ya mwaka 2016, Ni wimbo ambao ulimuweka Jay Prayzah kwenye ramani na kama haitoshi pia wimbo huohuo ulimpatia mshikaji Tuzo ya "MTV Africa Music Awards For Listener's Choice")

Leo Feb 15 JahPrayzah  amefunguka jinsi gani anamkubali Diamond Platnumz na shukrani kibao kwa vitu ambavyo Diamond amevifanya kwenye safari nzima ya muziki wake.



 This is one guy i can give thumbs up all day. Help me thank @diamondplatnumz for the role he has played in my musical journey and growth.All the best my brother.#MTM  Ameandika Jah Prayzah kwenye ukurasa wake wa Instagram.


Angalia Hapa Jah Prayzah Ft. Diamond Platnumz - Watora Mari (Official Video)

Powered by Blogger.