Utapenda Walichofanya Mariah Carey Na Rapa YGMariah Carey amerudi tena kwenye macho na masikio ya mashabiki wake, safari hii sio Mariah yule wa kulilia na kulalamika kwenye ngoma zake,

 Ngoma inaitwa "I Dont" humu ndani rapa YG amepata nafasi na hajaichukulia poa naweza kusema YG amefanya kile kitu Mariah na timu yake walikitaka kwenye ngoma hii.

Ngoma fulani hivi ya kibabe inayokukutanisha na wapenzi waliofika mwisho kila mtu anaona achukue time yake,

ANGALIA VIDEO HAPA: 
Kama umeielewa unaweza kudownload kwa kubonyeza Hapa:
Powered by Blogger.