Huyu Hapa Young Dolph Na Video Mpya Anakuambia "Yeezy"


Kutoka kwenye albamu yake "Gelato" mnyamwezi Young Dolph ameachia kichupa kingine tena baada ya wiki iliyopita kuachia "Ball Alert" video ambayo aliamua kuonyesha mfumo wa maisha yake halisi. 

 Hii hapa ni "Yeezy" enjoy nayo hapa: 

Powered by Blogger.