HUYU HAPA MCHEZAJI WA REAL MADRID ATAKAE UKOSA MCHEZO WA JUMATANOMchezaji wa Real madrid Danilo Luiz da Silva anaweza akaukosa mchezo wa Jumatano.

Beki huyo wa pembeni wa nafasi ya kulia Danilo Luiz(25) raia wa Brazil anaweza akaukosa mchezo mkubwa wa jumatano wa klabu bingwa ulaya dhidi ya Napoli ya Italia katika dimba la Santiago Bernabeu nchini hispania.
Beki huyo anakua anaukosa mchezo huo kwa kupata baada ya majeraha katika mchezo wa jumamosi dhidi ya klabu ya Osasuna waliowafunga kwa goli tatu kwa moja katika dimba la ugenini la El Sadar la klabu ya Osasuna na yeye kuumizwa na mchezaji wa timu ya hiyo ya Osasuna David Garcia kwa kumkwangua kwenye mguu wake wa upande kushoto na kisha kutolewa nje.

Nakuamua kuonyesha picha ya jinsi alivyoumia kwa kukwanguliwa kwenye mguu wake huo wa upande wa kushoto kupitia mtandao wa kijamii wa Snap_chat.Powered by Blogger.